Marekani yaiweka kampuni ya mafuta ya China katika orodha nyeusi - EDUSPORTSTZ

Latest

Marekani yaiweka kampuni ya mafuta ya China katika orodha nyeusi
Marekani imeiweka Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Pwani ya China (CNOOC) katika orodha nyeusi kwa madai kwamba inatishia usalama wake wa kitaifa.
Idara ya Biashara ya Marekani ilitangaza kuwa imejumuisha kampuni ya Wachina Skyrizon kwenye orodha ya kampuni zinazohusiana na jeshi.

Katika taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo, imeelezwa kuwa kampuni zote mbili zinatishia usalama wa kitaifa wa Marekani.

Imeelezwa kuwa CNOOC ilisaidia China kutisha majirani zake katika Bahari ya Kusini ya China na Skyrizon inauwezo wa kutengeneza bidhaa kama injini za ndege za jeshi.

Katika taarifa yake juu ya suala hilo, Waziri wa Biashara wa Marekani Wilbur Ross alisema kuwa vitendo vya uzembe na uchokozi wa China katika Bahari ya Kusini ya China na teknolojia ya silaha ni tishio kwa usalama wa Marekani na jamii ya kimataifa.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz