Mange Kimambi Awashukia Baby Mamas wa Diamond Platnumz Wanaopeleka Watoto Nyumbani Kwake "Ni Kujichorosha" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mange Kimambi Awashukia Baby Mamas wa Diamond Platnumz Wanaopeleka Watoto Nyumbani Kwake "Ni Kujichorosha"

 


Ameandika haya Mange Kimambi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

"Duh, Ila Dai ana raha jamani. Yani wanawake zake wanakazi ya kupishana airport kupandisha watoto mandege, Kha!

Kwanza why mnapandisha watoto mandege ? why yeye ndo asiende kuona watoto? Au atume mamake abebe watoto waende Dar why wewe mwanamke mpaka ujipeleke na wewe kujichoresha? Kama Zari alivyo kuwa anafatana na Dai mpaka mpirani, what was that for kama sio kujichoresha na ndo mwanaume anazidi kukudharau, anakuona cheap, alafu ukiangalia picha alizoposti Zari na alizoposti Dai za siku ile mpirani unaona kabisa nani anashoboka na nani hana time.


Guys this is not co-parenting. Wanachofanya wanawake wa Dai ni pure stupidity. Mimi nna coparent na ex husband wangu ila hadi leo hii sijui ndani kwake panafanana vipi. Nikipeleka watoto ni anatoka nje anawachukua, hata kwenye gari sishuki na yeye akiwadrop hivyo hivyo ananitumia message nashuka chini nabeba wanangu bomba. Siku moja alisema yuko bafuni niingie nao ndani niwaache sebleni, wee mbona nilimsubiria akamaliza kuoga. Siingiii kwake, niingie for what? Hawa wanawake wa Dai wote bado wanampendaaaa ndo maana wanajichoresha in the name of coparenting. 🙈

Anyways Dai na Tanasha wanapendezana warudiane tu, Lol. Sio yule kizee mwenzangu alikuwa anaonekana kama shangazi yake.

Ila navyomjua Bi Tukinao huko aliko roho inamuuma kufaaaa, harudi tena Dar 🤣🤣🤣. Haendi ng’oo sio kwa aibu hii 🤣🤣🤣. Mwenzie anapetiwa in public ye hata hug ilikuwa ngumu kupewa 🤣. Alijua pale atakuwa anafikia yeye na wanae tu, yani yule sijui lini atakuja kumjua Dai vizuri." MangeJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz