-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB


MANCHESTER United jana wamepoteza nafasi ya kurejea kileleni katika Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Sheffield United Uwanja wa Old Trafford.
Beki Kean Bryan alianza kuwafungia Sheffield dakika ya 23, kabla ya Nahodha wa
Manchester United, Harry Maguire kuisawazishia timu yake dakika ya 64 na mtokea benchi, Oliver Burke akawafungia wageni bao la ushindi dakika 10 baadaye.
Manchester United inabaki nafasi ya pili na pointi zake 40 baada ya kucheza mechi 20, ikizidiwa pointi moja na mahasimu wao wa Jiji, Manchester City ambao pia wana mechi moja mkononi 


Click to comment
 
Blog Meets Brand