MANCHESTER UNITED WAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIEDL, WATOKA SARE 0-0-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MANCHESTER UNITED WAIKOMALIA LIVERPOOL ANFIEDL, WATOKA SARE 0-0-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Beki wa Manchester United, Aaron Wan Bissaka akipambana na winga wa Liverpool, Sadio Mane katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Kwa matokeo hayo, United wanafikisha pointi 37 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi moja zaidi ya Manchester City ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Liverpool yenyewe inafikisha pointi 34 na inaporomoka hadi nafasi ya nne ikizidiwa pointi moja na Leicester City baada ya wote kucheza mechi 18
 


No comments:

Post a Comment