Man United Yaongoza EPL, Yawapiga Burnley-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Man United Yaongoza EPL, Yawapiga Burnley-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Klabu ya soka ya Manchester United ya nchini England, imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa ligi kuu nchini humo uliopigwa usiku wa kuamkia leo Januari 13, 2021.

Baada ya ushindi huo ambao goli pekee lilifungwa na Paul Pogba dakika ya 71, Manchester United sasa imefikisha pointi 37 na kukaa juu ya msimamo ikiwazidi Liverpool ambao wana pointi 33, baada ya timu zote mbili kucheza mechi 17 mpaka sasa.

Hii ni mara ya kwanza Manchester United inaongoza ligi kuu ya England baada ya kuwa imecheza mechi nyingi (17), ambapo mara ya mwisho kuongoza ligi baada ya mechi nyingi ilikuwa ni siku ya mwisho ya msimu wa 2012-13 walipotwaa ubingwa chini ya Sir Alex Ferguson.


Hata hivyo mbio za ubingwa ndio kwana mbichi kutokana na ushindani ambao upo msimu huu ambapo vilabu vingi vimekuwa vikisuasua.

Katika ligi ya msimu huu nchini England karibu timu sita zimeshakaa kwenye usukani wa ligi ya nchi hio mpaka sasa ambazo ni Manchester United, Southampton, Aston Villa, Liverpool, Tottenham na Everton.

The post Man United Yaongoza EPL, Yawapiga Burnley appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz