TIMU ya Manchester United imekwea kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Fulham usiku wa jana Uwanja wa Craven Cottage Jijini London.
Fulham walitangulia kwa bao la Ademola Lookman dakika ya tano, kabla ya Edinson Cavani kuisawazishia Manchester United dakika ya 21 na Paul Pogba kufunga la ushindi dakika ya 65.
Kwa ushindi huo Manchester United inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 19, wakiizidi ponti mbili Manchester City ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Je wajua!!!???
Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com
kwa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment