-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Manchester United imewafikia kwa pointi mabingwa watetezi, Liverpool baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Manchester United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 40 na Bruno Fernandes kwa penalti  dakika ya 61 wakati la Aston Villa lilifungwa na Bertrand Traore dakika ya 58 
Manchester United inafikisha pointi 33 sawa na Liverpool, baada ya timu zote kucheza mechi 16, ingawa mabingwa watetezi wanabaki juu kwa wastani wao mzuri wa mabao
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand