-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Manchester City jana ilitoka nyuma kwa bao la Alfie May dakika ya 59 na kushinda 3-1 dhidi ya timu ya Daraja la Tatu, Cheltenham Town mabao yake yakifungwa na P. Foden dakika ya 81, Gabriel Jesus dakika ya 84 na Ferran Torres dakika ya 90 na ushei na kutinga Raundi ya Tano Kombe la FA England
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA


Click to comment
 
Blog Meets Brand