Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya tisa akimalizia pasi ya Ferran Torres, jana liliipa ushindi wa 1-0 Manchester City dhidi ya Sheffield United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 44 baada ya kucheza mechi 20, sasa wakiongoza Ligi Kuu kwa pointi nne zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United waliotoa sare ya 0-0 na Arsenal jana Uwanja wa Emirates katika mechi yao ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA