-->

Type something and hit enter

On 


"Vitu vya kipuuzi vinatrend kuliko vya maana, mfano ukisema unakwenda kutoa msaada kwa watoto yatima hupati comments lakini ukimpost Bwana mpya au ukimtambulisha watakuja watu wotee"


"Mashabiki wangu wanapenda vitu vya adabu sio wale wanaopenda nyimbo za matusi na hao wasanii unaosema wanaimba nyimbo za matusi inawezekana (market) soko lao wanataka nyimbo hizo" @jidejaydeeClick to comment
 
Blog Meets Brand