-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Kieran Tierney dakika ya 23, Bukayo Saka dakika ya 28 na Alexandre Lacazette mawili dakika ya 60 na 64 jana yaliipa Arsenal ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns.
Kwa ushindi huo The Gunners inafikisha pointi 23 na kusogea nafasi ya 11, ikizidiwa pointi tatu na wapinzani wao wa London, West Ham United baada ya wote kucheza mechi 17 Click to comment
 
Blog Meets Brand