Kumekucha..ATCL yaanza Rasmi Safari za Chato - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..ATCL yaanza Rasmi Safari za Chato


Chato. Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania yenye namba T5H-TCD imeshusha abiria kwa mara ya kwanza katika uwanja wa ndege Geita - Chato wakitokea jijini Dar es Salaam.


Ndege hiyo imepokelewa na baadhi ya mawaziri, akiwemo Waziri Ujenzi na Uchukuzi Dk Leornad Chamuriho, Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel, wafanyabiashara pamoja na wananchi wa wilaya ya Chato. 

Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa safari za ndege Chato, Dk Chamriho amesema kutua kwa ndege hiyo  ni utekelezaji wa ilani ya CCM  ya kuhakikisha maeneo yote yanafikika kwa urahisi ili wananchi wafaidike na mnyororo wa thamani wa bidhaa zao.


Mbunge wa jimbo la Chato, Dk Merdad Kalemani amesema wakazi wa Chato watatumia uwanja huo kama fursa katika shughuli za kiuchumi.


Amesema wilaya ya Chato na Geita inautajiri wa madini, samaki na ardhi yenye rutuba hivyo ni fursa kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika wilaya hiyo.


Mkuu wa mkoa wa Geita, Robert Gabriel amesema mkoa huo utaunganisha Geita na Dunia nzima hivyo ni fursa kwa wakazi wa Geita kuchangamkia fursa  za kiuchumi ikiwemo ujenzi wa nyumba za kulala wageni, hotel na kufungua makampuni  ya usafiri kwa ajili ya kupeleka abiria katika uwanja huo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.