Kocha Mwambusi Ajiondoa Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kocha Mwambusi Ajiondoa Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

JUMA Mwambusi, ameomba kukaa kando kwa sasa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye majukumu ya kuwa kocha msaidizi.

 

Hatua hiyo imefikia baada ya yeye mwenyewe kuandika barua baada ya kikosi hicho kutwaa taji la Mapinduzi ambapo iliifunga Simba kwa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana, Uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar.

 

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa kwenye barua yake ya kuomba kujiweka kando ametaja sababu kuwa ni kuwa na matatizo ya kiafya.

 

Ameongeza kuwa ameshauriwa na wataalamu kukaa sehemu ambayo itamfanya asiwe na msongo wa mawazo pamoja na kupiga kelele.

Kwa sasa timu itakuwa chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi ambaye ameachiwa jukumu la kusaka msaidizi wake.

“KOCHA wa TAIFA STARS ALIKOSEA KIPINDI cha PILI” – UCHAMBUZI wa ALLY MAYAI

The post Kocha Mwambusi Ajiondoa Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.