-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Kocha wa Timu ya Taifa ya DR Congo na Klabu ya AS Vita ameeleza kuhusu tetesi za kujiunga na Simba SC na kusema kuwa itakuwa heshima kubwa kwake kufanya kazi na Simba au Yanga na Azam kwani ni miongoni mwa timu kubwa.

 

Pia Kocha Ibenge amesema kuwa kundi walilopangwa ambalo wapo na Simba ni kundi gumu lakini anaamini atamaliza katika nafasi mbili za juu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

The post Kocha Ibenge Afunguka Kujiunga Simba, Aitaja Yanga – Video appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand