
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, almaarufu kama Shilole, amepiga shoo kwenye fainali ya BSS kwa msimu huu wa 11 kwa mwaka 2021 usiku wa kuamkia leo Januari 30, 2021, katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Shilole akimsalimia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (hayupo pichani).

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa (wa tatu kutoka kulia) akifuatilia shoo ya Shilole.

…Burudani ikiendelea

Shilole akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani).

Msanii wa Bongo flava, Ommy Dimpoz, akicheza na Shilole.
The post Kivazi cha Shilole Chaibua Shangwe Fainali ya BSS -(Picha + Video) appeared first on Global Publishers.