Kiungo Platinum: Nakuja Simba SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kiungo Platinum: Nakuja Simba SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

NOMORE Chinyerere kiungo kiraka wa FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa yuko tayari kuja kucheza Simba ambayo inaelezwa imemuwekea dau mezani.

 

Awali chanzo kutoka ndani ya FC Platinum kililiambia Championi Jumamosi kuwa, Simba ilimfuata kiungo huyo mapema baada ya kumaliza mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe ili waweze kupata saini yake baada ya kuvutiwa na uwezo wake.

“Viongozi wa Simba walikuja na kuuliza bei yake kuhusu mchezaji wetu ila kwa kuwa viongozi walikuwa na mchezo wa marudio waliwachunia. Kwa sasa kazi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika imeisha hivyo ni wakati wa kukaa chini kuzungumzia dili hilo,” kilisema chanzo hicho.

 

Hata hivyo, Championi Jumamosi lilimtafuta Chinyerere ambaye alikuwa kwenye kikosi cha Platinum kilichopoteza kwa kufungwa mabao 4-0 na Simba pale Uwanja wa Mkapa ili aweze kuthibitisha suala hilo ambapo alikiri kufahamu kuhusiana na kuhitajika Simba.“

 

Nimesikia kuhusu kuhitajika ndani ya timu nyingi za hapa Tanzania, nikiwa mchezaji nipo tayari kucheza na ninajua zipo timu nyingi ambazo zinatajwa kuhitaji saini yangu ikiwa ni pamoja na Simba, mimi sioni tabu nitacheza bila mashaka yoyote,” alisema Chinyerere.

The post Kiungo Platinum: Nakuja Simba SC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.