Kaze: Tutafunga Sana Mzunguko wa Pili-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kaze: Tutafunga Sana Mzunguko wa Pili-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anahitaji kuona kikosi chake kinafunga mabao mengi kwenye michezo yao ya mzunguko wa pili, ili kuwe na uwiano mzuri wa mabao, ndiyo maana wameazimia kuongeza nguvu katika eneo la ushambuliaji kwa kumshusha straika hatari wa mabao.

 

Yanga inatajwa kuwa kwenye hatua za mwisho kumalizana na straika Mkongomani, Fereboy Dore, ili kubusti safu yao ya ushambuliaji, inayoonekana kukosa makali ambapo washambuliaji wote wanne wamefunga mabao tisa tu kwenye michezo 18.

 

Akizungumza na Championi Jumatatu, Kaze alisema: “Baada ya kuwa na mafanikio makubwa katika eneo la ulinzi kwenye mzunguko wa kwanza, kwa sasa tunataka kuhakikisha tunaongeza makali zaidi katika eneo la ushambuliaji na ndiyo maana tupo kwenye mpango wa kusajili straika mwingine ambaye atakuja kuwaongezea nguvu wale waliopo.

 

“Tunataka kuona timu yetu inapata mabao mengi, ili kuwa na uwiano mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa kama tunataka kumaliza katika nafasi nzuri zaidi kwenye msimamo.”

 

Yanga inaongoza msimamo na pointi zao 44 ilizokusanya baada ya kucheza michezo 18, imeshinda mechi 13 na kutoa sare kwenye michezo mitano.

JOEL THOMAS, Dar es Salaam

The post Kaze: Tutafunga Sana Mzunguko wa Pili appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.