-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
Nahodha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa jezi ya timu hiyo baada ya mazoezi ya jana kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Jumanne Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

Nahodha Msaidizi wa Taifa Stars, Juma Kaseja akimkabidhi Naibu Waziri, Abdallah Ulega jezi ya timu hiyo baada ya mazoezi ya jana Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es SalaamClick to comment
 
Blog Meets Brand