-->

Type something and hit enter

On
Kanye West ameripotiwa kumzawadia Kim Kardashian magari 5 mapya aina ya Mercedes Maybach ya mwaka 2021, asubuhi ya Sikukuu ya Krismasi mwezi uliopita.

Kwa mujibu wa TMZ, licha ya sakata la talaka ambalo linaendelea kwenye ndoa yao, Kanye alimpatia Kim zawadi hizo ambapo inaelezwa gari moja lina thamani ya ($200,000) sawa na takribani TSh. 463M. Hivyo kwa magari 5 ni kama ($1M) ambazo ni sawa na TSh. Bilioni 2.3


Click to comment
 
Blog Meets Brand