Je Wajua Mwanamke ni KIUMBE Mroho Sana Asiejua Anataka Kipi Kwa Ajili ya Maisha yake..Soma Hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Je Wajua Mwanamke ni KIUMBE Mroho Sana Asiejua Anataka Kipi Kwa Ajili ya Maisha yake..Soma Hii


Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana akipendwa achelewi kulemaa katika mapenzi na mwisho wewe unaempenda akakuona mpumbavu umekwama kwake hivyo anahaki ya kukufanya atakavyo. Mwanamke akipata mtu asiempenda ulalama kila kona ya dunia kuwa hapendwi anaumizwa na kusalitiwa.


Kosa moja la mwanaume kwa mwanamke huwa ni kama makosa mia, hatolisahau hilo na kila siku atalikumbusha kana kwamba yeye ni malaika vile hakosei. Mwanamke hakiwa hana mume utasikia akielezea nataka mume mwenye dini mchamungu aniongoze. Akitokea mume mwenye dini ubadilisha sera haraka na kuamia kwenye kipato "Vipi huyo mume anahela?".


Mwanamke ni kiumbe mroho sana asiejua anataka kipi kwa ajili ya maisha yake. Kundi dogo sana la wanawake lenye kujitambua ila wengi wao ni pasua kichwa alafu kujifanya tunaonewa lazima tupate haki zetu. Mwanamke anaweza kumsaliti mwanaume anaempa kila kitu akaenda kwa chekibob tu anaezeekea kwao kwa kula ugali wa bure kisa mumewe hana Six Pack.


Mwanamke anaweza kuomba talaka kwa kishindo kisa mumewe kaoa mke wa pili akiachwa anaenda kutembea na mume wa mtu. Sasa utajiuliza kilichomkimbiza na alichokifata kipi chenye thamani kwake. Mwanamke haoni hasara kuharibu ndoa yake kwasababu ya beseni la mtoto wa shoga yake. Kuna mengi anayo mwanamke ila kubwa ni kuwaombea dua tu kwasababu wao ndio mama zetu na ndio dada zetu sasa tukiwaacha tunamsusia nani?.


Na: @abdulrazaki.issaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.