Jacqueline Wolper Atangaza Mastaa 10 Anaowadai - EDUSPORTSTZ

Latest

Jacqueline Wolper Atangaza Mastaa 10 AnaowadaiNi 'headlines' za msanii wa filamu na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ambaye kupitia post zake mbili za mwisho kwenye mtandao wa Instagram ametangaza kuwataja mastaa 10 ambao anawadai na wamegoma kumlipa pesa zake.

Kupitia post hizo Jacqueline Wolper ameandika kuwa "Haya tangazo tangazo, wote mliokopa kwangu Mwaka jana nawapa hadi saa 10 jioni kama hamjalipa nawaanika kweupe ili wengine wakiona sura zenu wafunge maduka yao, tuonane kesho kuna 'top 10' nitawapost wote na nguo zangu mnazojishauwa nazo kenge nyie" 

"Leo nimelipwa hizo milioni kadhaa hapo 'atleast' na mimi nikalipe, sasa bado wale magwiji wavikoba mastaa pumbavu kabis,a nina hasira nao kuliko chochote hawa sijui tuwape siku ngapi" ameongeza Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.