Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

  


Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunty Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini.


Ikumbukwe kwamba kabla ya hapo Kusah alikuwa aki-cohabit na Mwanamziki Ruby huku Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz