-->

Type something and hit enter

On
Picha hii inazunguka Mtandaoni ikumuonesha Mwanamuziki Diamond Platnumz akiwa mtoto na mtoto wake ambae wamezaa na Mwanamuziki kutoka Kenya Tanasha Dona, Wadau wengi wanasema mtoto kafanana sana na baba hakuna haja ya kupima DNA, Je wewe Mdau Unaonaje?

Click to comment
 
Blog Meets Brand