FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Yanga 1-1 Azam Fc (P 5-4)-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Yanga 1-1 Azam Fc (P 5-4)-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 

YANGA inatinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa penalti 5-4.

Yanga itakutana na mshindi wa mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Simba na Namungo.

 

FT: Yanga 1-1 Azam FC
Hatua ya nusu fainali ya kwanza
Zinaongezwa dakika 3
Dakika 90 Benedict Haule anaingia anatoka Maseke
Dakika 88 Chirwa anafanya jaribio linaokolewa na Shikalo
Dakika ya 67 Goal Azam FC,Obrey Chirwa
Dakika ya 56 Niyonzima anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Azam FC inapigwa kona inaokolewa
Dakika ya 51 Goal kwa Yanga linafungwa na Tuisila Kisinda kwa pasi ya Haruna Niyo
Dakika ya 45 Chirwa anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kisinda
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Amaan

 

NUSU Fainali ya kwanza Kombe la Mapinduzi
Yanga 1-0 Azam FC

 

Mapumziko: Yanga Sc 1-0 Azam FC

Dakika 45 zinakamilika kwa timu zote kutoshana nguvu ngoma inaendelea dakika 45 zijazo

Dakika ya 38 Yacouba anapeleka mashambulizi Azam FC

Dakika ya 36 Sure Boy anapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 32 Chirwa anapaisha akiwa peke yake karibu na lango la Yanga

Dakika ya 27 Yacouba anasepa na kijiji anafanya jaribio linaokolewa na kipa

Dakika ya 22 Yanga wanapata kona ya kwanza

Dakika ya 21 Tigere anapiga kona ya pili kwa Azam FC

Dakika ya 19 Sebo anapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 17 Niyonzima anapeleka mashambulizi Azam FC

Dakika ya 14 Kibwana Shomari anapiga shuti ndani ya 18 linakwenda nje ya lango

Dakika ya 13 Sarpong anaotea

Dakika ya 9 Mukoko anapiga faulo haileti bao

Yanga 0-0 Azam FC

Dakika ya 2 Shikalo anaokoa hatari na Azam wanacheza kona ya kwanza.

Dakika ya kwanza Tigere anafanya jaribio linaokolewa na Farouk Shikalo.

Uwanja wa Amaan

Nusu Fainali ya Kwanza Kombe la Mapinduzi Zanzibar.

 

 

The post FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Yanga 1-1 Azam Fc (P 5-4) appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz