FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Simba 2-1 Namungo – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Simba 2-1 Namungo – Video-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 

FT: Simba 2-1 Namungo

Uwanja wa Amaan ngoma imekamilika dakika 90 kwa Simba kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Namungo FC na kutinga fainali.

 

Inakutana na Yanga ambayo ilitangulia kwenye fainali ya kwanza dhidi ya Azam FC kwa ushindi wa penalti 5-4 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.
Dakika ya 87 Goal Sey kwa kichwa
Dakika ya 83 Jaffary nje anaingia Kichuya
Dakika ya 80 Kakolanya anaweka salama lango la Simba
Dakika ya 78 Agele anaonekana akinawa moira mwamuzi anapeta
Dakika ya 78 Kagere anafanya jaribio linaokolewa na Barola
Dakika ya 77 Kakolanya anaokoa hatari
Dakika ya 71 Simba wanapeleka mashambulizi kwa Abarola
Dakika ya 64 Sabilo anapiga kichwa off target
Dakika ya 58 Nurdin Barola a aokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 56 Kakolanya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 54 Blaise anaingia kuchukua nafasi ya Kipagwile
Dakika ya 48 Kwizera anapeleka mashambulizi Simba
Kipindi cha pili kimeanza

 

HT: Simba 1-0 Namungo

Dakika ya 26 Kagere anacheza faulo

Dakika ya 25 Humud anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kahata

Dakika ya 22 Mzamiru anachezewa faulo

Dakika ya 14 Sey anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 12 Sabilo Off Target

Goal Kagere dk 6

Uwanja wa Amaan.

 

The post FT: Nusu Fainali Mapinduzi Cup: Simba 2-1 Namungo – Video appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz