-->

Type something and hit enter

OnMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imefuta bei mpya za Maji zilizopangwa kutozwa kuanzia Januari hii, ili kufanya uchunguzi kutokana na kukithiri kwa malalamiko ya wateja kubambikiziwa Ankara za Maji


Bei zilizofutwa ni ambazo zilikuwa zimeidhinishwa na Mamlaka hiyo kwa mwaka 2020/21 na kwa sasa zitaendelea kutozwa zilizokuwapo za mwaka 2018/19


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, kumekuwa na malalamiko ya Wateja ambapo kati ya malalamiko yote yanayopokelewa na EWURA katika Sekta ya Umeme, Mafuta, Gesi Asilia asilimia 60 ni ya Maji.


Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE
Click to comment
 
Blog Meets Brand