Dullvani Afunguka Sababu ya Kuvaa Madera - EDUSPORTSTZ

Latest

Dullvani Afunguka Sababu ya Kuvaa Madera

Mchekeshaji aliyejipatia umaarufu mitandaoni kwa kuigiza kama mwanamke na kuvaa madera Dullvani amesema aliamua kuja na 'style' hiyo kwa sababu waigizaji wengi wa vichekesho ni wanaume na wanawake wapo wachache.

Akipiga stori hizo kwenye show ya Firday Night Live ya East Africa TV ambayo inaruka kila siku ya Ijumaa kuanzia 3:00 mpaka 5:00 usiku Dullvani amesema 

"Uhusika ambao ulinitoa sehemu moja hadi sehemu kubwa zaidi ni ile ya Mama Chogo, japo wakati naanza watu walikuwa wanazungumzia vibaya, sasa hivi maneno yapo lakini yamepungua kwa kiasi kikubwa" 

"Mimi ni mwanaume sasa nikiigiza uhusika wa mwanaume haitakuwa haijakaa sawa kwa sababu tuna waigizaji wengi wa kiume lakini hatuna waigizaji wengi wa kike kwahiyo ndiyo maana nikaja na wazo la kuigiza kama mwanamke" ameongeza Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.