Dr. Dre Akubali Kumlipa MKE wake wa Zamani Bilioni 4 Kama Hela ya Matumizi ya Kila Siku - EDUSPORTSTZ

Latest

Dr. Dre Akubali Kumlipa MKE wake wa Zamani Bilioni 4 Kama Hela ya Matumizi ya Kila Siku

Licha ya kuwa anaendelea kupata nafuu mara baada ya jana kukimbizwa hospitali kutokana na matatizo kwenye ubongo, Dr. Dre amekubali kumlipa aliyekuwa mke wake, Nicole Young pesa za kutumia.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka The Blast jana (January 6), Dre alikubali kuwa anamlipa Nicole kiasi cha ($2 million) takribani Bilioni 4.6 za Kitanzania kama gharama za matumizi yake ya kila siku kwa miezi michache ijayo.

Shauri la talaka la wawili hao limesikilizwa jana na waliwakilishwa na wanasheria wao. Makubaliano hayo yanasema Nicole atapokea kiasi hicho cha fedha kuanzia Jumatatu ijayo (January 11) kumsaidia kwa ajili ya matumizi yake akiwa nyumbani kwake mjini Malibu. Japokuwa gharama za ulinzi zitakuwa juu yake hadi tena watakapo kutana mahakamani mwezi April.

Kwenye shauri hilo, Nicole ametoboa siri kwamba mtayarishaji huyo mkongwe ana kitita cha pesa taslimu ($250M) sawa na TSh. Bilioni 580 pia ana hisa kwenye Kampuni ya Apple.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.