-->

Type something and hit enter

On

Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema alifahamu kuwa Salum Iddi Nyange ndiye baba yake mzazi tangu mwaka 2000, na kwamba licha ya kufahamu hilo, amesema hakuona sababu ya kulijadili hata na ndugu zake wengine. Diamond amesema mama mzazi wa Rommy Jones ndiye aliyemwambia.Click to comment
 
Blog Meets Brand