-->

Type something and hit enter

On 


Akiwa jukwaani Diamond Platnumz aliamua kutumia wimbo wa Singeli aliokuwa akiimba na Dulla Makabilla kufikisha ujumbe kwa hadhira kwa kusema kuwa Eti wanasema yeye amerudiana na Tanasha lakini pia hawajaishia hapo wakasema tena yeye ( Diamond Platnumz) hajafanana na mtoto wa Hamisa Mobetto ( Mtoto wake) Dyllan

VIDEO:
Click to comment
 
Blog Meets Brand