-->

Type something and hit enter

On 


Ikiwa ni mwishoni mwa Show walipanda jukwaani familia ya Diamond Platnumz ikiongozwa na mama yake mzazi Mama Dangote, Mzee Shante pamoja na dada yake Esma.


Wakiwa Jukwaani Diamond alimchezesha mama yake Singeli akiwemo Mzee Shante na Esma kupitia wimbo wa Dulla Makabilla. Video nzima ipo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya ya Bongofive.


VIDEO: Click to comment
 
Blog Meets Brand