-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Danny Ings akiifungia bao pekee Southampton dakika ya pili tu ikiilaza timu yake ya zamani, Liverpool 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. Mary's. Southampton inafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 17 na kusogea nafasi ya sita ikizidiwa wastani wa mabao tu na Tottenham Hotspur na Manchester City, wakati Liverpool inaendelea kuongoza kwa pointi zake 33 za mechi 17 sasa, ikiizidi wastani wa mabao tu Manchester United ambayo ina mechi moja mkononi 


Click to comment
 
Blog Meets Brand