Cavani wa Man UTD Afungiwa na FA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Cavani wa Man UTD Afungiwa na FA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 STRAIKA mkongwe Edinson Cavani anatarajiwa kukosa mechi tatu za Manchester United baada ya kukubali kosa la kutoa kauli inayoonyesha ubaguzi wa rangi.

 

Mkongwe huyo alimuita mmoja wa wafuasi wake “negrito” katika ukurasa wake wa Instagram, kauli ambayo kwa mataifa ya Ulaya inachukuliwa kama kuonyesha ubaguzi wa rangi.

 

Pamoja na adhabu hiyo, pia straika huyo atatakiwa kulipa pauni 100,000 kwa kosa hilo mara baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la England (FA).

Pamoja na kupewa adhabu hiyo bado United imeitaka FA kuweka sawa kuwa Cavani siyo mbaguzi wa rangi na alitoa tamko hilo akiwa hana uelewa wa tamaduni ya sehemu husika.“

 

Edinson Cavani hakuwa na uelewa kuwa kauli yake itachukuliwa kama ubaguzi na ameshaomba radhi juu ya hilo kwa yeyote ambaye alikwazwa na kauli hilo.“

 

Alikuwa akijibu kauli ya pongezi iliyotolewa kwake baada ya kufunga bao kutoka kwa rafi ki yake wa karibu, ameamua kushirikiana na FA na kutotaka kukata rufaa,” ilisema taarifa ya United.

 

Tukio hilo la Cavani lilitokea mara baada ya United kupata ushindi dhidi ya Southampton mnamo Novemba 29, mwaka jana.

The post Cavani wa Man UTD Afungiwa na FA appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.