Carlinhos Avunja Ukimya Yanga SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Carlinhos Avunja Ukimya Yanga SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGOmshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, raia wa Angola, amekiri kuwa mwaka 2020 ulikuwa mzuri lakini hakuweza kufanya chochote kutokana na kuandamwa na wimbi la majeraha ya mara kwa mara tangu amejiunga na timu hiyo licha ya kupokelewa na mashabiki wengi.

 

Carlinhos amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Interclube ya Angola ambapo amefanikiwa kucheza mechi nne msimu huu huku akifunga mabao mawili na kutoa asisti mbili kabla ya kuanza kuandamwa na majeraha yaliyosababisha akae nje hadi sasa.

 

Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram, Carlinhos HIVI karibuni Yanga ililetewa taarifa ya kutakiwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wao Amissi Tambwe malimbikizo ya madai yake ambayo hakulipwa huko nyuma.

 

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ndilo lililofikia uamuzi wa kuitaka Yanga imlipe Tambwe fedha anazodai ambazo ni Sh mil 45 zilizotokana na malimbikizo ya mshahara na fedha za usajili kipindi akiichezea timu hiyo.

 

Iwe siri au kwa kuweka wazi, Yanga inapaswa kumlipa Tambwe ili kuepuka adhabu ya Fifa ambayo inaweza kuiathiri kwa kiasi kikubwa sana katika harakati zake za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

 

Yanga haitakiwi kuwa na maneno mengi katika utekelezaji wa agizo hili la Fifa kwani huko si kama Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linavyoichukulia timu hiyo, kanuni zinatumika ipasavyo.

 

Mzaha au dharau yoyote ya Yanga katika suala hili unaweza kuigharimu timu hiyo ambayo sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kupigania ubingwa wa ligi kuu baada ya kuukosa kwa misimu mitatu mfululizo.

 

Aliandika kwa kuanza kumshukuru Mungu lakini alienda mbali kwa kukiri kusumbuliwa na majeraha ya mfululizo kulimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake ndani ya Yanga tangu amejiunga nayo mwanzoni mwa msimu huu.“

 

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunibariki pamoja na familia yangu, ulikuwa mwaka mzuri kwangu, umeniathiri kwa majeraha ya mfululizo lakini bado nimekuwa na furaha katika mambo mengine.

 

“Naamini mwaka 2021 utakuwa mzuri na wenye mafanikio mengi kwa kuhakikisha kila mmoja anapigania malengo yake,” aliandika Carlinhos.

Ibrahim Mussa,Dar es Salaam

The post Carlinhos Avunja Ukimya Yanga SC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.