-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO wa Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ amepata majanga akiwa na kikosi cha timu hiyo visiwani Zanzibar ambapo jana alirudishwa jijini Dar na kuikosa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani humo.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, alisema: “Kikosi kipo vizuri, wachezaji wote wapo fiti isipokuwa Carlinhos ambaye amerejeshwa Dar.“

 

Anatakiwa kuendelea na matibabu pamoja na program alizokuwa amepangiwa kutokana na kutokuwa fiti.”Wakati huohuo, jana Jumatano kikosi cha Yanga kilipata mwaliko maalumu Ikulu kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah.

STORI: KHADIJA MNGWAI, Dar es Salaam

The post Carlinhos Apata Majanga, Arudishwa Dar appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand