BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Bernardo Silva dakika ya 79 na Ilkay Gundogan dakika ya 90 kwa penalti jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
Manchester City wanafikisha pointi 38 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United ambao wana pointi 40 za mechi 19 


No comments:

Post a Comment