Beki Yanga Awaumbua Mabosi wa Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Beki Yanga Awaumbua Mabosi wa Simba-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

LAMINE Moro, beki wa kati wa Klabu ya Yanga ambaye alipigwa chini alipofanya majaribio ndani ya kikosi cha Simba zama za Patrick Aussems kwa anachokifanya kwa sasa ni kama anawamumbua mabosi wa timu hiyo ambao walimkataa.

 

Habari zinaeleza kuwa Aussems ambaye alipewa jukumu la kupitisha jina la beki huyo kitasa raia wa Ghana alilipiga chini jembe hilo kwa kile alichokieleza kuwa uwezo wake ni mdogo.

 

Rekodi za mchezaji mmoja zinaonyesha kuwa Moro ndani ya Ligi Kuu Bara ni kinara wa utupiaji wa mabao kwa mabeki akiwa nayo manne na ana pasi moja ya bao pia ni chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Cedric Kaze na amempoteza yule wa Simba, Joash Onyango mwenye bao moja.

Yanga ikiwa imecheza jumla ya mechi 18 na kuruhusu mabao 7 ya kufungwa, Moro amecheza mechi 15 na kukosekana kwenye mechi tatu ambapo moja alikosa kwa sababu ya kadi tatu za njano ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania.

 

Mechi 14, ameyeyusha dakika 90 na kumfanya atumie jumla ya dakika 1,260 na moja alitumia dakika 45 nayo kwa sababu aliumia ilikuwa dhidi ya Simba. Jumla ametumia dakika 1,305 ndani ya ligi.

 

Onyango wa Simba, timu yake ikiwa imeruhusu mabao matano, amecheza jumla ya mechi 14 kati ya 15, ambazo zimechezwa na mabingwa hao watetezi chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck. Mechi 13, aliyeyuyusha dakika 90 na kufanya atumie jumla ya dakika 1,170 na alitumia dakika 68 kwenye mechi moja hivyo jumla ndani ya Ligi Kuu Bara amecheza mechi 14 na kutumia dakika 1,238.

Na Lunyamadzo Mlyuka,Dar es Salaam

The post Beki Yanga Awaumbua Mabosi wa Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.