Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BAO pekee la Frenkie de Jong akimalizia pasi ya Lionel Messi dakika ya 27 jana limeipa Barcelona ushindi wa 1-0 dhidi ya Huesca kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa El Alcoraz.
Kwa ushindi huo, Barcelona inafikisha pointi 28 baada ya kucheza mechi 16 sasa ikiwa nafasi ya tano, ikizidiwa pointi 10 na vinara, Atletico Madrid waliocheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA