-->

Type something and hit enter

On 


BLevo Fundi Manyumba Baba Levo ametangaza Vita na mtu yoyote atakae thubutu kumsema vibaya au kumtukana Diamond Platnumz, na kudai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuchezea mkate wake wa kila siku .

Baba Levo amedai kuwa Diamond amegharamia zaidi ya Milion 28 kwa ajili ya Video yake ya #Shusha, bila kudai kurudishiwa hata Senti Tano . Hivyo kitendo hicho kinaonyesha mapenzi makubwa aliyonayo juu yake na namna alivyoamua kumsaidia kwenye muziki na maisha yake kwa ujumla .


"Natangaza rasmi, ukimsema Diamond Platnumz vibaya ujue umeingia kwenye Vita rasmi na mimi. Sijali waniite chawa, Mende, kunguni au papasi, Cha msingi ni Boss wangu na ananilipa mshahara wa mamilioni " - Baba LevoClick to comment
 
Blog Meets Brand