Baba Levo Chawa wa Diamond Platnumz Atangaza VITA Kubwa Kwa Atakaye Msema Vibaya Mondi - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo Chawa wa Diamond Platnumz Atangaza VITA Kubwa Kwa Atakaye Msema Vibaya Mondi

BLevo Fundi Manyumba @officialbabalevo ametangaza Vita na mtu yoyote atakae thubutu kumsema vibaya au kumtukana @diamondplatnumz, na kudai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuchezea mkate wake wa kila siku .

@officialbabalevo amedai kuwa Diamond amegharamia zaidi ya Milion 28 kwa ajili ya Video yake ya #Shusha, bila kudai kurudishiwa hata Senti Tano . Hivyo kitendo hicho kinaonyesha mapenzi makubwa aliyonayo juu yake na namna alivyoamua kumsaidia kwenye muziki na maisha yake kwa ujumla .

"Natangaza rasmi, ukimsema @diamondplatnumz vibaya ujue umeingia kwenye Vita rasmi na mimi. Sijali waniite chawa, Mende, kunguni au papasi, Cha msingi ni Boss wangu na ananilipa mshahara wa mamilioni " - @officialbabalevoJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.