-->

Type something and hit enter

On 


Taasisi ya kuzuia nakupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro,imemkamata askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyefahamika kwa jina la Peter Albert Mushi katika eneo la Soweto wilayani moshi mkoani Kilimanjaro kwenye nyumba ya wageni kwa kosa lakumuomba rushwa ya ngono mama wa mtoto ambaye alipata ajali ili aweze kumsaidia.


Mkuu wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikesy amesema mtuhumiwa alibadilisha maeneo lakini maofisi wa TAKUKURU walifanikiwa kumkamata.

VIDEO:
Click to comment
 
Blog Meets Brand