-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Arsenal jana imetoka nyuma kwa bao la Stuart Armstrong na kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Southampton, mabao yake yakifungwa na Nicolas Pepe, Bukayo Saka na Alexandre Lacazette Uwanja wa St. Mary's.
Sasa Arsenal sasa imefikisha pointi 30 baada ya kucheza mechi 20 na kusogea nafasi ya nane, ikiwa inazidiwa pointi nne na mabingwa watetezi, Liverpool wanaoshika nafasi ya tano, ingawa wamecheza mechi 19 Click to comment
 
Blog Meets Brand