-->

Type something and hit enter

On 


Simon Warunge (22), Mwanafunzi wa Chuo Kikuu nchini #Kenya amekiri kuwauwa watu watano wa familia yake kwa madai kuwa walikuwa wafuasi wa shetani na ni wakatili


Simon amewaambia Polisi kwamba alitumia chuma kumgonga mama yake, kaka yake, baba yake na binamu yake kabla ya kuwachoma visu na kuwauwa


Dada zake wawili walinusurika na shambulio hilo kwa kuwa walikuwa shuleni. Uchunguzi umeanza upya kuhusiana na mauaji mengine yaliyotokea kwa ndugu wengine wa familia hiyo
Click to comment
 
Blog Meets Brand