-->

Type something and hit enter

On

Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo baada ya kunywa sumu ya kuhifadhia Mahindi aliyoichanganya na Pombe aina ya Vodka-Cuca, kwa madai ya Wazazi kutaka kuvunja mahusiano yake


Kamanda wa Polisi, Fortunatus Muslim, amesema Secilia alijaribu kujiua kwa kunywa sumu aina ya Acteric, huku kiini cha tukio hilo kikiwa ni wivu wa kimapenzi kuwa, Wazazi wanaingilia kuvunja mahusiano na Mpenzi wake


Kwa sasa, Mtuhumiwa amelazwa katika Kituo cha Afya Gairo akiendelea na matibabu na hali yake inaendelea vizuri.

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE

Click to comment
 
Blog Meets Brand