-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BAO pekee la Nahodha na beki mkongwe, Aggrey Morris kwa penalti dakika ya 62 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malindi SC katika mchezo wa mwisho wa Kundi C Kombe la Mapinduzi usiku wa leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kwa ushindi huo, Azam FC inamaliza kileleni mwa Kundi C na itamenyana na Yanga SC katika Nusu Fainali kesho hapo hapo Uwanja wa Amaan.
Nusu Fainali nyingine itakayofanyika kesho pia itazikutanisha Simba SC na Namungo FC, vita ya wa Kimataifa kutoka Tanzania Bara pia.
Click to comment
 
Blog Meets Brand