-->

Type something and hit enter

author photo
By On



 

ADEN RAGE ASHANGAZWA NA KINACHOENDELEA SIMBA

Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Klabu ya Simba Ismail Aden Rage ameelezea masikitiko yake kwa kile kinachoendelea ndani ya timu hiyo ya Mabingwa mara tatu mfululizo Ligi Kuu ya Vodacom. Kwa Ajira mpya Tanzania Bofya hapa

Rage amesema suala la kocha wa timu hiyo kuondoka kwa wakati huu haliko sawa kwakuwa timu hiyo ipo katika maandalizi ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi ambayo ni ngumu zaidi.

BOFYA HAPA KUMSIKILIZA 👉🏾

Click to comment
 
Blog Meets Brand