Wema Sepetu ampeleka Mbwa wake saluni, Aambulia Mapovu Kutoka Katika Mashabiki Wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Wema Sepetu ampeleka Mbwa wake saluni, Aambulia Mapovu Kutoka Katika Mashabiki Wake

 


Staa wa filamu hapa nchini Tanzania Wema Sepetu amezua jambo kwa wanazengo wa mtandao wa Instagram baada ya kufunguka kuwa huwa anampeleka saluni mbwa wake aitwaye Vanilla Nunu angalau mara mbili kwa mwezi.


Wema Sepetu ame-post picha hiyo ya mbwa wake wa kike kisha kuandika maneno ya kiingereza ambayo kwa kiswahili yanatafsirika kama "Mtoto wangu amefurahia siku yake ya saluni leo, ndiyo huwa anaenda saluni mara mbili kwa mwezi" 


Baada ya kupost picha ya mbwa wake huyo ambaye ana wafuasi elfu 10 kwenye mtandao huo, comments zimekuwa nyingi kwa watu wa jamhuri ya instagram ambapo wameshambulia Wema Sepetu kwa kushea habari hiyo.


Sasa hizi hapa ni baadhi ya comments hizo "Vanilla Nunu anatushinda urembo ndugu yangu, wewe saloon hadi lilie lamgambo" Mac 


"Utaishia kuwa na baby hao hao ndiyo maana muda mwingine mungu anashindwa kuwasaidia kwa sababu ya uzungu mwingi usio na maana, ina maana mwanao kawa mbwa sasa" Izack Tz 


"Si afadhali ukachukue watoto yatima huko, unafeli sana yaani" Salma Likokwe
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.