Watu 21 wauawa kwenye shambulio la kujitoa muhanga nchini Somalia - EDUSPORTSTZ

Latest

Watu 21 wauawa kwenye shambulio la kujitoa muhanga nchini SomaliaIdadi ya watu waliouawa kwenye shambulio la bomu katika mji wa Galkayo nchini Somalia imeongezeka na kufikia watu 21. 
Kundi la kigaidi la Al Shabaab limedai kuhusika na mashambulio hayo. Msemaji wa serikali ya jimbo la Gamudung amesema wengi waliouawa ni wanajeshi wakiwemo makamanda watatu wa kijeshi baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua. 

Watu wengine 19 walijeruhiwa kwenye shambulio hilo. Waziri Mkuu wa Somalia Hussein Roble alihudhuria mazishi ya wanajeshi waliouawa kwenye mlipuko huo na amelaani tukio hilo ambalo aliliita la kigaidi. 

Mlipuko huoulitokea karibu na uwanja wa michezo siku ya Ijumaa ambapo watu walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya kumkaribisha waziri mkuu Roble. Kundi la Al shabaab limesema mlengwa hasa alikuwa ni waziri Mkuu huyo wa Somalia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.