Watu 16 wapoteza maisha baada ya basi la abiria kushambuliwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Watu 16 wapoteza maisha baada ya basi la abiria kushambuliwa

Watu 16 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya basi la abiria kushambuliwa katika jimbo la Kano nchini Nigeria.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya kitaifa, watu wasiojulikana walishambulia basi la abiria katika eneo la Dambatta lililoko kwenye barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Abuja na Kano.

Watu 16 walipoteza maisha kwenye uvamizi huo na wengine wengi walijeruhiwa.

Gavana wa jimbo la Kano Abdullah Umar Ganduje, amelaani uvamizi huo na kusema kuwa vikosi vya usalama vilitumwa kwenye eneo la tukio na kuanzisha uchunguzi.

Eneo hilo limekuwa likikumbwa na mapigano makali kati ya jamii ya Fulani ambao ni wafugaji na makabila mengine yanayojishughulisha na kilimo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.