War in Dar ya Simba Yawatisha Wazimbabwe-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

War in Dar ya Simba Yawatisha Wazimbabwe-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

ILE kauli mbiu ya Simba kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum ijulikanayo kama War in Dar, kwa kiasi fulani imeonekana kuwatisha Wazimbabwe hao.

 

Hiyo ni baada ya Kocha Mkuu wa FC Platinum, Norman Mapeza, kuibuka na kusema kwamba mchezo wao marudiano hautokuwa rahisi kutokana kufuatilia rekodi ya Simba katika mechi zake za nyumbani kwenye Ligi Mabingwa Afrika ambazo zinawatisha.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumatano iliyopita ijini Harare, Zimbabwe, FC Platinum iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

 

Timu hizo zinatarajiwa kurudiana Januari 6, mwakani ambapo mshindi wa jumla anafuzu hatua ya makundi, huku atakayepoteza akiangukia hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mepeza alisema: “Ukweli uliowazi ni kwamba, wamekuwa na rekodi nzuri katika uwanja wao wa nyumbani, hilo jambo kiasi fulani linatia hofu lakini bado haiwezi kutukwamisha kusimamia mipango yetu, tumeshinda nyumbani lakini hata nje ya hapa bado tunahitaji matokeo bora.

“Kuhusu kuwafuatulia wapinzani, kwetu linafanyika bila shida na ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuanza maandalizi mapema.

 

”Simba imekuja na kauli mbiu hiyo ikiwa na maana kwamba vita ipo jijini Dar katika mchezo huo wa marudiano ambapo wachezaji wameahidi kucheza kwa uwezo wao wote ili kufuzu hatua ya makundi

The post War in Dar ya Simba Yawatisha Wazimbabwe appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.